The House of Favourite Newspapers

Nyumba ya Wazanaki kivutio Viwanja vya Sabasaba jijini Dar

0
????????????????????????????????????
Umati wa wananchi waliofika kwenye maonesho ya sabasaba wakiingia na kutoka katika Nyumba ya Kabila la Wazanaki.
????????????????????????????????????
Wakiingia katika nyumba hiyo.
????????????????????????????????????
Kibao kikionesha Nyumba ya Kabila la Wazanaki.
????????????????????????????????????
Ulinzi ukiwa mkali kwenye moja ya mageti ya kuingilia viwanjani hapo.
????????????????????????????????????
Baadhi ya watu wakionekana ndani ya nyumba hiyo.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi walivyoonekana kufurika viwanjani hapo.
????????????????????????????????????
Umati wa watu ukiwa umezunguka nyumba hiyo.

NA DENIS MTIMA/GPL

NYUMBA ya Kabila la Wazanaki imeonekana kuwa kivutio kikubwa katika maonesho ya Viwanja vya Sabasaba vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar kuliko vitu vingine baada ya kamera hii kunasa wananchi wakiingia kwa wingi kuishuhudia.

Mbali na nyumba hiyo, pia maonesho hayo yameonekana kupamba moto ikiwa leo ndiyo siku yenyewe ya Sikukuu ya Sabasaba baada ya wiki iliyopita  kuzinduliwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na mwenyeji wake, Rais wa Tanzania, John Magufuli. Hii ni mara ya 40 kufanyika kwa maonyesho hayo.

Leave A Reply