The House of Favourite Newspapers

Tecno Camon C9 Yaingia Sokoni Kwa Kishindo

0

Simu kali ya TecnoCamon C9 yenyeuwezowahaliyajuukatikakupigapichaikiwana Camera mbili (Mbelenanyuma) za Megapixel 13, uwezowa 4G LTE nateknolojiambalimbalizakisasaimeingiarasmisokoni. Simuhiinimiongonikwasimuzakisasakuingizwanchini, nainapatikanakwabeiyakawaidaya Tsh.400,000

Watejawamefurikakwawingidukaniilikujipatiasimuhiimpyaambayoinasifakedekedeiwenikwa wale wanaopendaselfie au wale wenyeuhitajiwasimuyenyeuwezowakufanya mambo mengikwawakatimmoja.

KwenyePicha: WatejawakipataufafanuzikuhusuCamon C9 katikaduka la Tecnokablayakujipatia C9


WatejawalipatabahatiyakushindazawadimbalimbalikufuatiadrooiliyochezeshakatikaofisizaTecno.Watejawengiwaliwezakujishindiazawadizikiwemo Microwave, feni, subwoofer hukuzawadikubwakabisaikiwani TV yanchi 43. 

KwenyePicha: Mmojawawatejawa kwanza kununua Tecno CamonC9 akikabidhiwazawadiya Subwoofer baadayadrookuchezeshwa.

SIFA ZA CAMON C9

BaadhiyasifazaCamonC9 inayouzwakatikamadukaya Tecno ikiwakatikarangi 3 tofautinihizi;

Camera yahaliyajuu
Kama mpenziwapichaCamon C9 imekupa Camera unaihitajikwaniinawezakutambuasuranakupiga selfie kali hataukiwagizani.Pia Camera yakeinaurembowakweli (make-up) ambayoitafanyapichazakokuwanamvutowaasili.

PiaTecno Camon C9 itaondoa issue za selfie kutokuwakatikwakutumiacamera iliyokatikatiyasimuambayoinaitwa ‘The Perfect Selfie camera’. SimuhiyoyaCamon C9 inakujanakifurushi cha 10GB kutoka Vodacom Tanzania ambaohivikaribuniwameboreshamtandaowa 3G nchinzimanakuzindua 4G kwamaeneoya Dar es Salaam.


 Watuwengindaniya selfie moja
TecnoCamon C9 inauwezowakujazawatuwengikwenye selfie mojakulikosimuyoyoteduniani. Camera ya C9 inachukua angle kubwazaidihivyokukuwezeshakupataselfie nzurihivyokuchukuawatuwengizaidi.

Simuhiiinapatikanakatika Exclusive Showroom yetuiliyokaribuyako
• Mbeya – Boaz Mwakyama
• Mwanza – Nyerere Road Round About PambaMwanza
• Arusha – Block H , Area F – Makongoro Street
• Dar Es Salaam – City Mall, iliyopokonayaBibiTiti, Morogoro Road..

Unawezakutembeleakurasazamitandaoyakijamiiya Tecno kujuazaidi.
• Facebook:https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania
• Instagram:https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania
• Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ

 

Leave A Reply