The House of Favourite Newspapers

Video: Nyumba Zabomolewa Kimakosa Arusha, Rais Samia Aitwa, Kaya saba Zakosa Makazi

0

Mwanamama Frida Nicholaus, mkazi wa Arusha ameangua kilio akimuomba Rais Samia, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wamsaidie apate haki yake baada ya nyumba yake kubomolewa kimakosa.

Leave A Reply