The House of Favourite Newspapers

OFFSET ADAIWA MIL. 26 NA FUNDI ALIYEMSHONEA NGUO

 

Offset

ZAIDI ya mwezi mmoja uliopita, rapa wa Marekani, Kiari Kendrell Cephus (Offset) alipewa siku 45 na mahakama ya Fulton County, Georgia, kulipa Dola 11,699 (Sh. mil. 26) zinazotokana na gharama za nguo na mapambo aliyohudumiwa na mwanamitindo mmoja huko Miami mnamo Aprili mwaka huu wakati wa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rapa wa kike, Quavo wa kundi la Migos.

Siku hizo (45) tayari zimepita bila Offset kujibu chochote,  na sasa mwanamitindo huyo amesema waamuzi ni mahakama.

 

Comments are closed.