The House of Favourite Newspapers

Sekeseke la Madawa Bado Linaendelea T.I.D Atinga Nyumbani kwa Makonda…..

Paul Makonda (kushoto) na T.I.D

DAR ES SALAAM: Sekeseke la madawa ya kulevya bado linaendelea kuunguruma Jijini Dar es Salaam na baadhi ya maeneo ya nchi. Leo,  Jumamosi Februari 11 2017 Msanii wa Bongo Fleva Khalid Mohammed, T.I.D amemtingia nyumbani Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kufanya naye mazungumzo baada ya kulala mahabusu kwa siku kadhaa juma lililopita.

Aidha T.I.D mapema baada ya kuachiwa huru kwa dhamana, alitamka katika hadhara kuwa yupo tayari kuachana na matumizi ya dawa hizo endapo atasaidiwa.

Ujumbe wa Paul Makonda Instagram

 

 

Salum Milongo/GPL

TAZAMA VIDEO HAPA

Comments are closed.