The House of Favourite Newspapers

Ozil Amfuata Ronaldo Juve

0

Klabu ya Arsenal imempa nafasi kiungo wake Mesut Ozil ya kujiunga na Juventus ya Italia kwenye dirisha dogo la usajili mwezi Januari.

Vigogo hao wa London wako tayari kulipa sehemu ya mshahara wa kiungo huyo raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 32 ili kufanikisha usajili huo wa mkopo wa miezi sita.

Leave A Reply