×

Video: Makonda Afunguka Sababu ya Rio Ferdinand Kutoposti Mitandaoni Akiwa Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema alimwomba mwanasoka wa zamani wa kimataifa kutoka Uingereza na Manchester...

READ MORE

Mixx Na Hisense Wazindua Kampeni Ya Kitaifa Ya Kombe La Dunia

Dar es Salaam, 22 Mei 2026 – Kampuni inayotoa huduma za fedha kidigitali, Mixx kwa kushirikiana na kampuni ya Hisense,...

READ MORE

Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Yatangaza Fursa za Uwekezaji

Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia baina ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC) inakualika kuwekeza...

READ MORE

Iran Yakataa Kusafirisha Uranium Yake Nje, Mazungumzo na Marekani Yaingia Dosari

Iran imekataa kusafirisha nje akiba yake ya uranium iliyorutubishwa kwa kiwango cha juu, hatua inayoweza kuongeza mvutano katika mazungumzo ya...

READ MORE

Bet Boost ya Meridianbet: Njia Mpya ya Kuongeza Ushindi Wako

Meridianbet, jina linalotamba katika ulimwengu wa kubashiri, linawapa wateja wake fursa ya kipekee ya kuongeza furaha na faida zao kupitia...

READ MORE

Rio Ferdinand Apongeza Viwango vya Kimataifa vya Uwanja wa Arusha

  Nyota wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United Rio...

READ MORE

Mafwele Azuiwa Kuingia Marekani kwa Tuhuma za Ukiukwaji wa Haki za Binadamu – Video

Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania, leo Mei 22, 2026 imetangaza kumuwekea vikwazo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Tanzania...

READ MORE

Mastaa Wampongeza Jackie Cliff Baada ya Kushare Picha za Ujauzito

Jackline Patrick maarufu kama Jack Patrick au Jackie Cliff (@mscliff_) ameendelea kuteka mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kushiriki...

READ MORE

Tumaini Jipya kwa Watoto UMRA Baada ya Msaada wa Meridianbet

Kampuni ya Meridianbet imeendelea kuwa mfano wa kampuni zinazojali jamii baada ya kutoa msaada wa vyakula kwa watoto wa kituo...

READ MORE

Madonna Azua Gumzo Akiwa Na Mwonekano Wa Kipekee Kabla Ya Albamu Yake Mpya

Malkia wa muziki wa pop, Madonna (67), ameendelea kuwavutia mashabiki wake baada ya kuonekana akiwa na mwonekano wa kuvutia katika...

READ MORE

Marekani Yaipa Iran Onyo Kali Kuhusu Hormuz, Yakataa Kutoza Ushuru

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio amesema makubaliano ya kidiplomasia kati ya Marekani na Iran hayatakuwa na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 22, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Polisi Wafunguka Sakata la David Jumbe Uchunguzi Bado Unaendelea – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa taarifa kuhusu sakata la David Joseph Mghanja maarufu Djumbe, kufuatia...

READ MORE

Rio Ferdinand Avutiwa Na Utalii Wa Serengeti, Ajionea Uhamaji Wa Nyumbu Na Simba Kwa Ukaribu

Nyota wa zamani wa Klabu ya Manchester United na timu ya Taifa ya Uingereza, Rio Ferdinand akiwa na Waziri wa...

READ MORE

Chadema Yaeleza Sakata la David Jumbe Baada ya Kupatikana Akiwa na Pingu – Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza taarifa mpya kuhusu msaidizi wa mwenyekiti wake, Tundu Lissu, David Jumbe, kufuatia madai...

READ MORE

Nyota wa Iran Kombe la Dunia 2018 Aishia Jela Baada ya Kauli za Kisiasa Mtandaoni

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Iran, Rashid Mazaheri, amekamatwa na kuwekwa gerezani kufuatia chapisho aliloliweka mtandaoni mapema...

READ MORE

Vita Yakumaliza Msimu Leo, Nani kuibuka Mshindi? Al Ittihad Uso kwa Uso Al Qadsiah

Al Ittihad wana pointi 54 baada ya mechi 33, wakiwa nafasi ya 5, wakishindana kwa nafasi ya kufuzu Ligi ya...

READ MORE

Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Watangaza nafasi Kazi Udereva

Ubalozi wa Tanzania Marekani umetangaza nafasi mpya ya ajira kwa Dereva wa Ndani (Local Based Driver) kwa mwezi Mei 2026....

READ MORE

Waziri Mkuu Atatua Mgogoro Wa Ardhi Uliodumu Kwa Miaka 51 Wilayani Rombo

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametatua mgogoro wa ardhi kati ya Parokia ya Mtimhoo ya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi...

READ MORE

Rais wa Syria Amshukuru Trump kwa Zawadi ya Manukato ya Bei Kubwa

Rais wa Syria Ahmed Al-Sharaa amemshukuru Rais wa Marekani Donald Trump kwa kumtumia zawadi ya manukato ya bei kubwa ya...

READ MORE