×

Trump Ahamishwa Kwa Siri Kwenye Ndege Nyingine Kupitia Gari La Chakula Baada Ya Tishio La Kuuawa

Washington, Marekani — Agosti 11, 2026: Rais wa Marekani, Donald Trump, alihamishwa kwa siri kutoka kwenye ndege yake ya Air...

READ MORE

Mbeto: Tamasha La Kizimkazi Linaendeleza Mila Na Utamaduni Wa Jamii

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tamasha la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, lina msingi wa kuhifadhi na kuendeleza utamaduni, mila...

READ MORE

Kocha wa Yanga Aahidi Ushindi Dhidi ya Simba Kesho Uwanja wa New Amaan Complex

Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesema timu yake iko tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba,...

READ MORE

Arajiga Kuamua Mechi ya Simba na Yanga Kesho New Amaan Complex, Zanzibar

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Ahmed Arajiga kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Ngao ya Jamii 2026 kati...

READ MORE

Video: Chalamila Atoa Siku Saba Kwa Mabasi Kurejea Magufuli Stendi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa siku saba kuanzia leo, Agosti 11, 2026, kwa mabasi yote...

READ MORE

Selemani Mwalimu ‘Gomez’ na Ali Kamwe Watua Zanzibar, Arafat Awapokea – Picha

Mshambuliaji Selemani Mwalimu ‘Gomez’ leo Agosti 11, 2026 amewasili Visiwani Zanzibar akiwa pamoja na Ali kamwe, ambapo amepokelewa na Makamu...

READ MORE

Kim Kardashian Avamiwa Nyumbani, Mtu Mmoja Akamatwa

Nyota wa Marekani Kim Kardashian amekumbwa na tukio la uvamizi katika moja ya nyumba zake zilizopo eneo la Hidden Hills,...

READ MORE

PSG Kukutana na Aston Villa Kuwania Taji la UEFA Super Cup Kesho

Salzburg, Austria — Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG), kesho Jumatano Agosti 12 saa nne usiku watakutana...

READ MORE

Jeff Bezos Akosolewa Baada Ya Kuchangia bilioni 529 Kuokoa Wanyama 100

Bilionea na mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos, amekumbana na ukosoaji baada ya kutangaza ahadi ya kuchangia dola milioni 200 (Shilingi...

READ MORE

Video: Wilbroad Slaa Afichua Kilichotokea Wakati Akikamatwa kwa Uhaini

Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Wilbroad Slaa, amefanya mahojiano maalum na Global TV, ambapo amefunguka kuhusu maisha yake, safari yake ya...

READ MORE

Simba Yakutana na Kaa la Moto, Pamba na Geita Gold Zavaa Miwani ya Vita Ligi Kuu

Pazia la NBC Premier League msimu wa 2026/27 linatarajiwa kufunguliwa rasmi Agosti 14, huku timu mbalimbali zikianza kampeni ya kusaka...

READ MORE

Barker Afunguka Mipango Ya Simba Kuelekea Derby ya Kariakoo

  Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, amesema timu yake imejiandaa kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi...

READ MORE

NEC Nijmegen vs Olympiacos Vita ya Kufuzu UEFA Champions League

Leo jumanne usiku, uwanja wa Goffert jijini Nijmegen utakuwa kitovu cha mojawapo ya mechi za kihistoria kwa klabu ya NEC...

READ MORE

Simba Yasaka Mbadala wa Mwalimu, Aliyewatungua Yanga Atajwa

Inaelezwa kuwa mabosi wa Simba SC wapo kwenye hesabu za kusaka mbadala wa Seleman Mwalimu ambaye ametambulishwa katika kikosi cha...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laua Watu 132, Zaidi ya 570 Wajeruhiwa

Watu 132 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 570 wakiripotiwa kujeruhiwa kutokana na tetemeko la ardhi lilioikumba Colombia Agosti 10....

READ MORE

Trump Amlinda Infantino, Asema Kumuondoa FIFA Ni “Kosa Kubwa”

WASHINGTON, Agosti 11, 2026 — Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa uungwaji mkono kwa Rais wa Shirikisho la Kimataifa la...

READ MORE

Meridian Scatter Whale yaleta burudani mpya kwenye kasino mtandaoni

Ulimwengu wa kasino umeingia kwenye sura mpya ya burudani baada ya kuwasili kwa Meridian Scatter Whale, mchezo unaowapeleka wachezaji kwenye...

READ MORE

Simba Wapigwa Bao Mchana Kweupe, Yanga Yamtambulisha Selemani Mwalimu ‘Gomez’

Klabu ya Yanga SC, maarufu kama Wananchi, imemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Selemani Mwalimu ‘Gomez’, kuwa mchezaji wao mpya...

READ MORE

Mrembo Aibua Gumzo Mtandaoni “Hakuna Mwanaume Anayetaka Kuoa Mwanamke Mzigo”

Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania, Beingrechol, ameibua gumzo baada ya kutoa maoni yake kuhusu wanawake wanaopenda kuwaomba...

READ MORE

Zelenskyy: Wanjeshi 50,000 Wa Korea Kaskazini Kutumwa Urusi

KYIV: Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema hadi wanajeshi 50,000 wa Korea Kaskazini wanaweza kupelekwa nchini Urusi kusaidia vikosi vya...

READ MORE