×

Mnara wa 4G Wafungua Milango ya Maendeleo Daluni Kisiwani, Mkinga

Wananchi wa Kijiji cha Daluni Kisiwani na vijiji vya jirani, wilayani Mkinga mkoani Tanga, wameanza kunufaika na huduma bora za...

READ MORE

Fernandes Ang’aa Tena, Aipa Man United Ushindi Muhimu Dhidi ya Chelsea

Bruno Fernandes aendelea kuwa shujaa wa Manchester United baada ya kutoa pasi ya bao (assist) lililoipa timu yake ushindi wa...

READ MORE

Big Bounty Ndio Ligi Ya Wakali Ikitoa Pesa Kwa Wenye Njaa Ya Ushindi

Maisha yakiwa magumu, kuna wale wanaobaki kulalamika na kuna wale wanaogeuza nafasi kuwa pesa. Swali linabaki kuwa wewe uko upande...

READ MORE

Supermarket Yatangaza Nafasi za kazi 17 za Cashier, Wanahitajika Haraka

Supermarket inatangaza nafasi 17 za Cashier kwa watu wenye sifa stahiki kujiunga na timu yetu. ✅ Vigezo vya Mwombaji: Awe...

READ MORE

Trump: Iran Haiwezi Kutuogopesha Kwa Kufunga Mlango wa Hormuz

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Marekani haitakubali kushinikizwa wala kuwekewa masharti na Iran, huku akisisitiza msimamo mkali wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 19, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Iran Yafunga Tena Mlango wa Hormuz, Yashambulia Meli Zinazojaribu Kupita

Mvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka tena baada ya Iran kutangaza kufunga upya Strait of Hormuz na kushambulia meli...

READ MORE

Kisasi au Mwendelezo? Chelsea Wakitafuta Ushindi Dhidi ya United leo

Chelsea vs Man United ndio mechi kubwa itakayopigwa siku Jumamosi hii katika dimba la Stamford Bridge huku nafasi ya kuondoka...

READ MORE

Kikwete Akutana na Ruto Nairobi Kujadili Amani ya Sudan Kusini

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa...

READ MORE

Natalie Portman Aibua Gumzo Baada ya Kutangaza Ujauzito wa Tatu

Mwigizaji maarufu Natalie Portman amesema anajisikia mwenye bahati na shukrani kubwa anapotarajia kumpata mtoto wake wa tatu pamoja na mpenzi...

READ MORE

Shinda Zawadi Kubwa Kupitia Aviator Kwenye Meridianbet

Unajua kabisa maisha yanataka maboresho na kupanda hatua, lakini mfukoni huna kitu. Sasa Meridianbet wamekufungulia njia. Sasa una nafasi ya...

READ MORE

Kafulila Aeleza Kwa Kina Dhana ya Ubia (PPP), Aondoa Mkanganyiko kwa Wananchi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, ametoa ufafanuzi wa...

READ MORE

Fahamu Madhara ya Kuendesha Gari Taa ya Mafuta Ikiwa Inawaka

Madereva wengi wana tabia ya kupuuza taa ya mafuta pale inapowaka kwenye dashboard ya gari, wakiamini bado wanaweza kusafiri umbali...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 18, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Akagua Maendeleo Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu, Arusha

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba leo Aprili 17, 2026 amekagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu unaojengwa mkoani...

READ MORE

Meridianbet Yawasha Tena Taa Ya Matumaini Kijitonyama Kisiwani

Mitaa ya Kijitonyama Kisiwani ilisimama kidogo, si kwa kelele za magari wala pilikapilika za kawaida, bali kwa ujio wa Meridianbet...

READ MORE

Fàbregas Aigeuza Como 1907 kuwa Tishio Kubwa Serie A, Kutinga UEFA

Je unajua kuwa Cecs Fabregas amekuwa ni nguzo ya mafanikio kwa klabu ya Como 1907 na amekuwa na msaada mkubwa...

READ MORE

JWTZ Yatangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi, Mwisho Aprili 28, 2026

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania kuanzia wahitimu wa...

READ MORE

Robo Fainali FA Yaibua Mvutano Mkali; Yanga Yapangwa na JKT, Simba Dhidi ya TRA United

Leo Aprili 17, 2026, jijini Dar es Salaam imefanyika droo ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB...

READ MORE

Trump Aeleza Mafanikio Makubwa Katika Mazungumzo na Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani iko karibu sana kufikia makubaliano na Iran, hatua inayoweza kupunguza mvutano uliodumu...

READ MORE