×

AZANIA na NHIF Wazindua Huduma ya Ushirika Afya Kwa Wakulima Kupitia Mikopo

Mkurugenzi Mkuu wa Bendi ya Azania, Charles Itembe akizungumza kwenye mkutano huo.     Dar es Salaam: 3 Agosti, 2021:...

READ MORE

Tanzia: Waziri Kwandikwa Afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Elias...

READ MORE

Sey Anatembea na Mkataba wa Yanga

NAELEZWA kuwa mshambuliaji wa Namungo, Stephen Sey, raia wa Ghana anatembea na mkataba wa Yanga ambao ametumiwa ausome na kama...

READ MORE

Bendera: Watumishi Wanaopinga Chanjo Mtuache, Kama Huogopi Corona Katusaidie Muhimbili

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufunuo lililopo Kimara Bonyokwa, Mchungaji Paul Bendera amewashukia baadhi ya viongozi wa dini wanaowashawishi waumini...

READ MORE

Majembe Mapya Simba Hadharani

NI rasmi sasa uongozi wa Simba unatarajia kuanza rasmi programu za mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu...

READ MORE

Makambo Ndani ya Nyumba Yanga SC

WANANCHI mpo? Leo huenda ikawa ni siku ya furaha tena kwenu baada ya yule straika aliyeondoka mkiwa bado mnamhitaji, Heritier...

READ MORE

Yondani Kupewa Dili Jipya Polisi

UONGOZI wa Polisi Tanzania umeridhishwa na kiwango cha mlinzi mkongwe, Kelvin Yondani na sasa unajiandaa kuendelea kumbakisha ndani ya klabu...

READ MORE

Aliyetakiwa na Luis Simba Atua Yanga Usiku

TAYARI Yanga imefanikiwa kumnasa kiungo mshambuliaji wa UD Songo ya Msumbiji, Jimmy Julio Ukonde kwa ajili ya msimu jao wa...

READ MORE

Majenerali Waliopanga Kumuua Rais wa Madagascar Wakamatwa

MAOFISA wa kijeshi wa ngazi ya juu na polisi wamekamatwa nchini Madagascar kuhusiana na jaribio la kumuua rais lililotibuka. Waliokamatwa...

READ MORE

Alichokisema Rais Samia Mbele ya Kagame – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa...

READ MORE

Mbeya: Makada wa Chadema Wadaiwa Kukamatwa na Polisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya kimedai kuwa makada wake watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi akiwemo...

READ MORE

Delta Imeongeza Maambukizi ya Corona Duniani

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka kutokana na...

READ MORE

Wataalamu Waeleza Sababu za Watoto Kutoshambuliwa na Corona

WATAALAM wa tiba za binadamu wamesema kuwa kufa na kuzaliwa kwa cell mara kwa mara kwa watoto ndio sababu inayopelekea...

READ MORE

Alcohol Pills, Teknolojia ya kulewa bila kunywa

Hii inaweza kuwa habari njema sana kwa wanywaji wa pombe! Inafahamika kwamba ili ulewe, lazima unywe kinywaji chenye kilevi ukipendacho,...

READ MORE

IGP Sirro: Mbowe Sio Malaika, Ukiandamana Utakung’utwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Simon Sirro amewataka wafuasi wa Chadema kuacha kuishinikiza mahakama ili Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Mbunge CCM Ajiuzulu Wiki 3 Baada ya Kushinda Uchaguzi

MBUNGE wa Jimbo la Konde, Sheha Mpemba Faki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejiuzulu ubunge kuanzia leo Jumatatu, Agosti 2,...

READ MORE

SGA Security Yapongezwa kwa Kuwajali Wafanyakazi

  Kampuni ya SGA Security imepongezwa kwa rekodi yake maalumu ya kuhakikisha wafanyakazi wake wanadumu kwa muda mrefu hadi umri...

READ MORE

Nunua TECNO Camon 17 na TECNO Spark 7 Ujishindie Zawadi za Sh. 100M

  Kampuniyasimu TECNO kupitia ukurasa @tecnomobiletanzania  inawakambusha  wateja wa simu za TECNO kuhusiana na promosheni ya VIMBA. TECNO inawataka wateja...

READ MORE

Msigwa: Hitaji la Watanzania Sio Katiba, Wapinzani Wasubiri – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wapinzani wanatakiwa kuwa na subira kuhusu suala la kukutana na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Msigwa Afunguka Hasara ATCL: Hakuna Faida Kwenye Tiketi – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ilionesha Shirika...

READ MORE