×

Spoti Xtra Kuingia Mtaani kwa Kishindo Kesho

KAMPUNI ya Global Publishers inayojihusisha na uchapaji wa magazeti ya michezo ya Championi na Spoti Xtra, kwa kutambua kiu ya...

READ MORE

Zari Ampiga Chini King Bae Wake wa Sauz

MREMBO na mwanamama Zari the Boss Lady amethibitisha kuachana na mwanaume wake aliyemtambulisha mtandaoni kama ‘King Bae’ ambaye alifikia hadi...

READ MORE

Tanzania Pekee Yatajwa Kutokuwa na Corona Ulimwenguni

RIPOTI iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na kisha ripoti hiyo kuchambuliwa na...

READ MORE

Mondi, Zuchu, Nandy Washinda Tuzo za AFRIMMAA

  WAANDAAJI wa tuzo za mashindano ya All-Africa Music Awards Msimu wa Saba (AFRIMMA) ambayo yamefanyika jijini Dallas, Texas, Marekani, ...

READ MORE

Dkt. Mpango: Tumefikia Uchumi wa Kati, Umaskini Bado Upo – Video

BAADA ya kula kiapo cha kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema, pamoja na #Tanzania kuwa imeingia...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza Ajipeleka Karantini Tena

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametangaza kujitenga baada ya kukutana na Mbunge wa Ashfield, Lee Anderson ambaye baadaye alithibitishwa...

READ MORE

Taifa Stars Kibaruani Tena Kesho kwa Mkapa

KESHO timu ya Taifa ya Tanzani  (Taifa Stars) ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa kufuzu Afcon 2021...

READ MORE

JPM: Lukuvi, Kabudi Hamtakuwa Marais, Jiandaeni Kisaikolojia – Video

RAIS John  Magufuli amesema kuwa hadhani kama chama chake kitapitisha mgombea wa urais anayezidi umri wa miaka 60 katika uchaguzi...

READ MORE

Obama: Marekani Imegawanyika Kambi Mbili

RAIS wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amesema, matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu yamedhihirisha kuwa, kuna mpasuko mkubwa wa...

READ MORE

Magufuli: Sina Haraka ya Kuteua Mawaziri… – Video

  RAIS John  Magufuli amesema kazi ya kuteua mawaziri ni ngumu, hivyo lazima amtangulize Mungu, ili anayestahili asije akamuonea, huku...

READ MORE

Wema: Nikipata Mtoto Nitachanganyikiwa

MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia ulimwengo wa Bongo Muvi, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya na kusema kuwa siku Mungu akimjalia...

READ MORE

Magufuli Amwapisha Majaliwa, Kabudi & Mpango – Video

RAIS John Magufuli amemuapisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya kuteuliwa Novemba 12, 2020 na kuthibitishwa na...

READ MORE

Majaliwa Atoa Siku 4 Sakata la Bei Saruji – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa siku nne kuanzia leo hadi kufikia Novemba 20, wakuu wa mikoa kupita kwenye viwanda na...

READ MORE

JPM: Uwaziri Mkuu Hauna ‘Guarantee’, Nampa Pole Majaliwa… – Video

RAIS John Magufuli amesema kuwa kazi ya Uwaziri Mkuu haina dhamana kwamba kila atakayeteuliwa atakaa kwa miaka mitano kwani anaweza...

READ MORE

Rais Peru Ajiuzulu Siku 5 Baada ya Kuapishwa

ALIYEKUWA Rais wa Mpito wa Peru, Manuel Merino, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo  ikiwa ni siku tano tangu kuchaguliwa baada ya...

READ MORE

Trump Akiri Biden Kushinda Uchaguzi

  RAIS wa Marekani ambaye pia alikuwa anatetea kiti chake kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump, kwa mara...

READ MORE

Mchungaji Bushiri Atoroka Sauz Baada ya Dhamana

MCHUNGAJI maarufu Barani Afrika, Bushiri na  mke wake Mary, wametoroka nchini Afrika Kusini na kurejea kwao Malawi baada ya kuachiwa...

READ MORE

Magufuli Kumwapisha Majaliwa Leo – Video

RAIS John Magufuli leo, Jumatatu, Novemba 16, 2020, atamwapisha Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Pogba Asema Hana Furaha Man U

KIUNGO wa kati wa Manchester United na Ufaransa, Paul Pogba, anasema kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana cha kazi yake...

READ MORE

Mo Aahidi Private Jet, Simba Champions League – Video

  MWENYEKITI wa wa Bodi ya wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mo Dewji amesema wamejipanga na wana bajeti ya kutosha...

READ MORE