×

Corona: Waziri Aagiza Shule Kurejesha Ada za Wanafunzi

WAZIRI wa Elimu nchini Kenya ameziagiza shule nchini humo kurejesha ada za wanafunzi kwa mwaka 2020 au wazipeleke mbele zitumike...

READ MORE

Simba Yatuma Salamu Yanga, Yapewa Kombe Lao, Watua Dar (Picha +Video)

BAADA ya Simba jana kutoka 0-0 na Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani...

READ MORE

Waziri Mkuu Afariki Dunia Baada ya Mawaziri Kukutana

WAZIRI Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Coulibaly, amefariki dunia jana Jumatano, Julai 8, 2020, jijini Abidjan ikiwa ni muda mfupi...

READ MORE

Miaka 5 ya Rais Magufuli na Uchumi wa Viwanda

MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa...

READ MORE

Mwili wa Balozi Lusinde Wawasili Dodoma – Video

MWILI wa aliyewahi kuwa waziri katika Baraza la Mawziri la awamu ya kwanza, Balozi Job Lusinde umewasili Dodoma jana ukitokea...

READ MORE

Mama Kubwa Achumbiwa na Mdogo wa Uwoya

MSANII wa filamu za Kitanzania, Mariam Ismail ‘Mama Kubwa’ hivi karibuni ushosti wake na staa wa filamu Irene Uwoya umebadilika...

READ MORE

Benki Ya NIC Na CBA Zaungana Kuboresha Maisha Ya Wateja

Benki ya NIC na CBA zimeungana na kuunda benki ya pamoja iitwayo NCBA ambayo itakuwa na nguvu ya kuboresha zaidi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi Julai 9, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 9, 2020 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Gigy Money Kurudi Shule

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema kwamba, ameamua kurudi shule ili atimize malengo yake ambayo...

READ MORE

Wema Akiri Kuwa na Miguu Mibaya

STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema kuwa anajijua kuwa ana miguu mibaya, lakini hiyo isiwafanye watu kuwa ndiyo...

READ MORE

Watu 7 Wauawa Kikatili, Mama, Ndugu wa Damu Wahusika – Video

NI simanzi kila kona, ndivyo unavyoweza kutafsiri kishindo cha mauaji ya watu saba katika mikoa ya Mara, Arusha, Mbeya na...

READ MORE

Moshi: Fumanizi Lampandisha Kortini Mwalimu

LILE sakata la fumanizi lililotikisa Kanda ya Kaskazini na kwenye mitandao ya kijamii kati ya Agnesi Mallya (32) aliyedai kumfumania...

READ MORE

Shilole ‘Alia’ na Kipigo Kutoka kwa Mumewe

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed, maarufu kama Shilole, ameamua kuweka wazi matatizo ya ndoa yake...

READ MORE

FT: Yanga 1-0 Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba

 Yanga leo Julai 8, 2020 wanacheza dhidi ya Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara lakini baada ya...

READ MORE

Shilole Adundwa na Mumewe, Asimulia Mazito!

  Mwanamuziki Zena Mohammed maarufu Shilole ametangaza kuachana na mume wake, Uchebe, kwa sababu amekuwa akimpiga mara kwa mara bila...

READ MORE

Chadema: Nyalandu Achukua Fomu Kuwania Urais – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais...

READ MORE

Mke Amzika Mara Mbili Mumewe Aliyekufa kwa Corona

MWANAMKE mmoja Afrika Kusini amelazimika kufanya mazishi ya mume wake mara mbili aliyekufa kwa ugonjwa wa Covid-19 baada ya kubainika...

READ MORE

Nyalandu Amkumbuka Mbowe Walipokuwa Israel – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu, ameeleza ni kwa namna gani anamfahamu mwenyekiti...

READ MORE

BREAKING: Joshua Nassari Ahamia CCM Arusha – (Pichaz +Video)

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amejiunga na Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE