×

Watu 6 Wafariki, 14 Wajeruhiwa Ajali ya Basi la Green Line Singida

Watu sita wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani, iliyotokea katika eneo la Injiri, Wilaya ya Ikungi...

READ MORE

Marekani Yathibitisha Ongezeko la Meli Kupita Hormuz, Afichua Harakati Mpya

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema kuwa idadi ya meli zinazopita katika Strait of Hormuz imeongezeka, akisisitiza kuwa...

READ MORE

Msigwa Aeleza Ukweli wa Ongezeko la Gharama za Uwanja wa Arusha

Serikali imeeleza sababu za kuongezeka kwa gharama za ujenzi wa uwanja wa mpira unaojengwa mkoani Arusha, ambapo sasa zimefikia shilingi...

READ MORE

Mwanamke Atoroka Kwenye Gari la Polisi Kupitia Dirisha Akiwa na Pingu

Tukio la kushangaza limewaacha wengi midomo wazi baada ya mwanamke mmoja aliyekuwa amefungwa pingu kufanikiwa kutoroka ndani ya gari la...

READ MORE

Mwanamke Afungwa Mwaka Mmoja Jela kwa Kuiba Mtoto wa Miezi Mitatu – Video

Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu mwanamke mmoja, Novina Yoel Kuboja (23), kifungo cha mwaka mmoja jela baada...

READ MORE

Mtanzania Afariki Uturuki Baada ya Kudondoka Ghorofa ya 14, Utata Wazuka – Video

Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha Mtanzania aliyefariki dunia baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya 14 nchini Uturuki, umeibuka mjadala...

READ MORE

Zelensky Aishutumu Russia Kushirikiana na Iran Kushambulia Marekani

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametoa madai mazito akidai Russia imekuwa ikishirikiana kwa karibu na Iran katika kutoa taarifa za...

READ MORE

Hasara Sio Mwisho! Meridianbet Wakurudisha Mchezoni na Win&Go

Sasa mchezo umebadilika. Meridianbet inaleta njia mpya ya kufurahia ubashiri kupitia Win&Go, ambapo hata unapopoteza, bado unapata sababu ya kutabasamu....

READ MORE

Simba Kupambana na Ratiba Ngumu Aprili, Macho Yote Kwa Barker

Simba SC chini ya Kocha Mkuu Steve Barker inaingia mwezi Aprili 2026 ikiwa na ratiba ngumu ya mechi za NBC...

READ MORE

Dakika 1 Tu Inaweza Kukupa Utajiri! Jaribu Live In-Play Booster Leo

Live In-Play Booster ni huduma ya Meridianbet inayowezesha wateja kubashiri mechi zinazoendelea (live matches) na kupata odds zilizoboreshwa papo kwa...

READ MORE

Chris Brown Azua Gumzo Baada ya Kumbusu Shabiki Jukwaani

Msanii maarufu wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown, amezua gumzo kubwa mitandaoni kufuatia tukio lililotokea katika moja ya maonyesho yake...

READ MORE

Nafasi za Kazi kwa Walimu wa Sekondari na Msingi – Dar es Salaam na Bagamoyo

Taasisi ya elimu inakaribisha maombi kutoka kwa walimu wenye sifa kujaza nafasi mbalimbali za kufundisha katika ngazi ya Sekondari (Ordinary...

READ MORE

CAG Dkt. Kichere Aibua Kasoro Kwenye Mradi wa Uwanja wa Arusha – Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, Machi 30, 2026 amewasilisha ripoti kuu ya mwaka wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 31, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Rais Samia Ampongeza CAG, Aahidi Mapungufu Kushughulikiwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itachukua hatua madhubuti kushughulikia mapungufu yote yaliyobainishwa katika...

READ MORE

CAG: Deni la Serikali lafikia Trilioni 110.05, Lakini Bado Salama – Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere, leo Machi 30, 2026 amewasilisha Ripoti Kuu ya mwaka wa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti ya CAG, TAKUKURU na PPRA (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 30, 2026 amepokea ripoti mbalimbali kutoka taasisi za...

READ MORE

‘Bwege’ Afariki Dunia Akiwa Hospitalini Kigamboni

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Seleman Bungara maarufu kwa jina la ‘Bwege’ amefariki dunia mchana wa leo, Machi...

READ MORE

Kikwete Awasilisha Ripoti ya Migogoro kwa Rais wa Malawi

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jopo la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

READ MORE

Trump Atishia Kuchukua Mafuta Iran na Kuteka Kisiwa cha Kharg – Video

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatafakari mpango tata na hatari wa kijeshi unaolenga kuingia ndani ya Iran kwa muda...

READ MORE