×

Meridianbet Yaanzisha Burudani Mpya kwa Vijana kwa Ushirikiano na EGT Digital

Meridianbet imekuja na hamasa mpya kabisa kwa vijana wanaopenda burudani ya kisasa. Kupitia ushirikiano wake na EGT Digital, sasa unaingia...

READ MORE

Selena Gomez Aweka Sokoni Jumba lake la kifahari Los Angeles

Msanii maarufu wa muziki na filamu, Selena Gomez, ameweka sokoni jumba lake la kifahari lililopo eneo la Los Angeles kwa...

READ MORE

Rais Trump Achunguza Pendekezo Jipya la Iran Kuhusu Kumaliza Vita

Rais Donald Trump Mei 2, 2026 amesema kwamba alikuwa akichunguza pendekezo jipya la Iran la kumaliza vita, lakini pia alionyesha...

READ MORE

Terrano Yarudi na Muonekano wa Kisasa na Uimara Mkubwa

Nissan imerejesha jina maarufu la Nissan Terrano kwa kuzindua concept ya SUV mpya ya plug-in hybrid, inayolenga kushindana na magari...

READ MORE

Dalili 5 Muhimu za Ugonjwa wa Figo Usizopaswa Kupuuza

Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka katika mwili. Kuweka uzaini wa maji na madini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Trump Atangaza Kumalizika kwa Vita na Iran Bungeni Marekani – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza mbele ya Bunge la Marekani kuwa vita na Iran ‘vimekwisha’, huku akisisitiza kuwa hana...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Viongozi, Naibu Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na mabadiliko ya viongozi mbalimbali serikalini

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Atoa Onyo Kali kwa Watendaji wa Sekta ya Ardhi Nchini

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kali kwa watendaji wa sekta ya ardhi nchini, akiwataka kuacha mara moja tabia...

READ MORE

Polisi Dar Yamkamata Mtu kwa Kusambaza Taarifa za Uongo Mtandaoni – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Aprili 30, 2026, limemkamata mkazi wa Salasala, Kinondoni, Mocine Julius maarufu...

READ MORE

Wimbo Mpya wa Kusah na Harmonize “Kama Sio” Wavutia Mashabiki wa Bongo -Video

Wasanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize na Kusah, wameungana na kutoa wimbo mpya wa mapenzi uitwao “Kama Sio.” Wimbo...

READ MORE

Drops & Wins ya Pragmatic Play: Ushindi wa Haraka na Meridianbet!

Kama mbashiri unayetafuta njia rahisi na ya kisasa ya kujaribu bahati yako na kupata ushindi, Meridianbet wamekuwekea nafasi safi kabisa....

READ MORE

Marekani Kuondoa Wanajeshi 5,000 Ujerumani Baada ya Mvutano Kansela Merz – Video

Serikali ya Marekani imetangaza mpango wa kuondoa takribani wanajeshi 5,000 walioko nchini Ujerumani, hatua ambayo inatajwa kuibua mjadala mpya kuhusu...

READ MORE

Rais Kagame Kuwasili Tanzania kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Moja

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kesho, Jumapili, Mei 03, 2026, kwa ziara ya kikazi...

READ MORE

Bashiri Mechi za La Liga, Serie A na EPL Leo na Meridianbet … Barcelona, Arsenal

Kama kawaida Wikendi ni kwaajili ya soka na leo hii mechi nyingi kupigwa kwenye viwanja mbalimbali kule Ulaya. Timu zinashuka...

READ MORE

Waamuzi wa Morocco Kuchezesha Dabi Uwanja wa Meja Isamuhyo Mei 03, 2026

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imewatangaza waamuzi kutoka nchini Morocco kwa ajili ya kuchezesha mchezo mkubwa wa Ligi Kuu...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atoa Onyo Kali Kabla ya Mchezo Dhidi Ya Simba

Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Pedro Soares Gonçalves, leo Mei 2, 2026 amesema kikosi chake kimekuwa na muda wa...

READ MORE

Viongozi Wakuu Iran Wagawanyika Kuhusu Hatma ya Waziri wa Mambo ya Nje – Video

Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya serikali ya Iran, ambapo Rais Masoud Pezeshkian na Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf...

READ MORE

Mshindi wa Tuzo ya Nobel Azimia Mara Mbili Gerezani Iran, Ahamishiwa Hospitali

Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Iran na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 2023, Narges Mohammadi,...

READ MORE

Makonda Afichua Mpango wa Kuwaleta Mike Tyson na Floyd Mayweather Jr. Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema yapo mazungumzo yanaendelea ili kuwaleta nchini mabondia Mike Tyson na...

READ MORE