×

Simba Yatangaza kukamilisha uhamisho wa winga Joshua Mutale kutoka klabu ya Power Dynamos

Klabu ya Simba Sc imetangaza kukamilisha uhamisho wa winga wa kulia, Joshua Mutale kutoka klabu ya Power Dynamos ya nchini...

READ MORE

TRA Yaandika Rekodi mpya ya Ukusanyaji wa Mapato kwa Kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/24

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeandika rekodi mpya ya ukusanyaji wa mapato kwa kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/24 baada...

READ MORE

Shigongo Ambana Meneja Wa Tarura Mbele Ya Wananchi, Ataka Majibu – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amembana Meneja wa TARURA kwa kumpigia simu na kumuweka ‘loud speaker’ mbele ya wananchi ili...

READ MORE

Sms Ya Mwisho Ya Manji Kwa Saleh Jembe, ”Aliniambia Anaamini Yanga Ilipofika Ni Sababu Yake”- Video

Mchambuzi nguli wa habari za michezo, Saleh Ally Jembe amemzungumzia marehemu Yusuph Manji kuwa alikuwa na mchango mkubwa kwa Klabu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 2, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Serikali Itaendelea Kushirikiana Na Sekta Binafsi Kuboresha Huduma Za Afya

Dar es Salaam 2 Julai 2024: Serikali kupitia Wizara ya Afya nchini imeahidi kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya ili...

READ MORE

Aweso Amtumbua Meneja DAWASA Kinyerezi

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake ikiwa ni...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Aomba Menejimenti ya TAEC Kumpa Ushirikiano

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Prof. Najat Kassim Mohammed  ameitaka menejimenti ya TAEC pamoja na...

READ MORE

NSSF Yawataka Watumishi wanaotarajiwa Kustaafu Kuanza Kujiandaa..

Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii NSSF umewataka watumishi wanaotarajiwa kustaafu kuanza kujiandaa ikiwa ni pamoja na kuhakiki taarifa...

READ MORE

Watoa Huduma Za Kifedha Waja Na Jipya

Benki ya Equity inayojihusisha na utoaji wa huduma mkbalimbali za kifedha jana imezindua banda lake la kutolea huduma kwenye Viwanja...

READ MORE

Wananchi Kunufaika Na Teknolojia Ya Kisasa Ya Mtandao Wa Simu Ikiwemo Fiber

Dar es Salaam 2 Julai 2024: Kampuni ya Mtandao wa simu ya Tigo imewekeza huduma zake kwenye Viwanja vya Maonesho...

READ MORE

APC Yashiriki Maonesho Ya 48  Ya Sabasaba Kwa Kishindo, Dar

Dar es Salaam 2 Julai 2024: Uongozi wa Hoteli ya APC wameiomba serikali kuongeza siku na muda wa maonesho ya...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Atoboa Siri ya Ushindi wa CCM

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafurahishwa na namna makada, wanachama na viongozi wa Chama...

READ MORE

RC Chalamila Akutana na Kamati ya Ardhi Maliasili na Utalii

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai mosi,2024 amekutana na Kamati ya Ardhi Mali asili...

READ MORE

Polisi Wanamaji Dar Wakamata Majahazi Yakikwepa Kodi Kusafirisha Mafuta Dumu 1731

Jeshi la Polisi Kikosi cha Polisi Wanamaji kinaendelea na ufuatiliaji maalum kuanzia Mei  hadi Juni, 2024 katika kudhibiti uhalifu ukanda...

READ MORE

Wananchi Waunganishiwe Maji Ndani ya Siku 7

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwa Tabata-Segerea ameelekeza menejimenti ya DAWASA kuhakikisha inafanyia kazi eneo la Maunganisho ya Maji...

READ MORE

Yanga Yapata Pigo Kifo Cha Yusuf Manji

Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa taarifa kuwa umepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyewahi kuwa...

READ MORE

BET 2024: Tyla ashinda tuzo ya Msanii Bora Mpya

Mwimbaji wa Afrika Kusini Tyla Laura Seethal ‘Tyla’ alitajwa kuwa Msanii Bora Mpya katika Tuzo za BET 2024, na hivyo...

READ MORE

Yanga Yatangaza kumsajili Kiungo Mshambuliaji, Chama Akitokea Simba

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili Kiungo Mshambuliaji, Clatous Chota Chama raia wa Zambia akitokea Klabu ya Simba Chama anajiunga na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 1, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE