Vurugu, Pluijm awavaa Yanga, arusha ngumi
VURUGU ziliibuka baada ya Singida United kufanikiwa kuwatoa Yanga katika robo fainali ya Kombe la FA jana Jumapili.
Kocha wa Singida, ambaye aliwahi kuinoa Yanga, Hans van Der Pluijm, baada ya ushindi huo wa penalti jana, alijaribu…
