Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda – Part 02
WATANZANIA wengi hawajui nini kilisaba-bisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha mamia ya watu kuuawa mwaka 1994. Naamini kama wakisoma makala haya watajifunza kitu na kuona umuhimu wa mshikamano na amani tulionayo na faida…
