×

Mbinu Sahihi za Kumaliza Stress za Mapenzi, Soma Hapa

SIKITIKO la mahaba lashinda msiba! Umewahi kusikia maneno hayo ya wahenga? Bora usimuliwe lakini usipitie kipindi cha sikitiko la mahaba....

READ MORE

NMB Inajenga Kizazi Kipya Cha Wataalamu wa Sekta ya Fedha

Wahitimu wa mafunzo maalum ya utayari wa kuwa watumishi wa Benki (Graduate Bankers Readiness program) kutoka Benki ya NMB wakifurahi...

READ MORE

Mafunzo Yazinduliwa Kuelekea Wiki ya Usalama na Afya Kazini 2026

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, akiwasilisha hotuba yake ya kufunga mafunzo ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 23, 2025

  Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Fahamu Tatizo la Vidonda vya Tumbo kwa Mjamzito

MJAMZITO anaweza kupata vidonda vya tumbo kabla au baada ya ujauzito.  Umakini unahitajika sana katika kumchunguza mama mjamzito ili kuelewa...

READ MORE

Yanga na Simba Waendeleza Ubabe Ligi Kuu Waibuka na Ushindi

Vigogo wa soka Tanzania, Simba na Yanga, wameendeleza ushindani mkali wa kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya...

READ MORE

Stanbic Bank Yazindua Lipa Simpo kwa Wateja Kupitia App

Dar es Salaam – Benki ya Stanbic Tanzania imetambulisha rasmi huduma ya Lipa Simpo kwa wateja, ikiruhusu kufanya malipo moja...

READ MORE

Video: Trafiki Akipigana Na Dereva, Polisi Watoa Ufafanuzi

Dodoma, Tanzania – Jeshi la Polisi nchini limezungumzia picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikionyesha tukio la askari wa polisi...

READ MORE

Video: Kishandu Anusurika Kuuawa Arusha, Pikipiki Yachomwa Moto

Ni mtiti! Mtu mmoja ambaye bado hajafahamika jina, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali huku pikipiki yake ikichomwa moto,...

READ MORE

Vita Ya Ubingwa Kuendelea Ulaya Leo, Odds Kubwa La Liga, EPL Na Serie A

Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za leo ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia...

READ MORE

Tazama Ujasiri wa Binti wa Kilimanjaro Girls Mbele ya Waziri Mkuu – Video

Binti mmoja wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kilimanjaro ameonyesha ujasiri mkubwa alipata nafasi ya kuzungumza hadharani mbele ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Awasisitiza Wanafunzi Kusoma Kwa Bidii Kilimanjaro Girls

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi wanaosoma shule ya sekondari ya wasichana ya mkoa wa Kilimanjaro wasome kwa bidii...

READ MORE

Nafasi 08 za Ajira Zatangazwa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

Halmashauri ya Wilaya ya Kyela imetangaza nafasi nane (08) za ajira baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti...

READ MORE

Mirambo Ashinda Kwa Kishindo Uenyekiti CUF, Achukua Nafasi Ya Prof. Lipumba

Chama cha Wananchi (CUF) kimempata Mwenyekiti mpya wa Taifa, ambapo Mirambo Camil Yusuf amechaguliwa kushika nafasi hiyo akichukua mikoba ya...

READ MORE

Mapinduzi Ya Mchezo Na Ushindi Yaletwa Na Vaso Psycho Ndani ya Meridianbet

Ulimwengu wa michezo ya mtandaoni sasa umeingia hatua mpya kupitia Vaso Psycho, toleo la kipekee kutoka Expanse linalopatikana rasmi ndani...

READ MORE

Tume Ya Uchunguzi Yaongezewa Siku 42 Kukamilisha Ripoti

Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 imeongezewa Siku 42 na kutakiwa kukamilisha majukumu yao Aprili 3, 2026 kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 22, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Achana Na ‘Siwezi Kuishi Bila Yeye’, Kuna Maisha Bila Yeye!

HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuanza Ziara Ya Kikazi Mkoani Arusha Februari 22, 2026

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Arusha kuanzia...

READ MORE

Radi Yaua Watu Watatu Wakivuna Mahindi, Mbeya – Video

Watu watatu wakazi wa Kitongoji cha Goye, Kijiji cha Goye, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, wamefariki dunia...

READ MORE