PAMBANO LA RAY NA JB LAZIDI KUTIKISA

JB akipiga chuma.

WASANII wa filamu nchini, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Jacob Steven ‘Jay B’ wanaotarajiwa kuzichapa katika pambano la ndondi linalotarajiwa kufanyika mkoani Morogoro siku ya Pasaka, jana waliendelea kutambiana wakati wakizungumza na wanahabari walipokuwa wakifanya mazoezi ya kujiandaa na pambano hilo.

Akitesti nguvu za mikono.

Baada ya kumaliza kufanya mazoezi wasanii hao kila mmoja alianza kumwaga tambo za kummaliza mwenzake na kumkata kilimilimi kwenye pambano hilo.

Akipiga ‘punching bag’.

Akipigishwa ‘pad’ na mwalimu wake, Christopher Athur Mzazi.

Akimwaga tambo kwa wanahabari kwamba atamchakaza Ray mapema.

Ray akisimamiwa na mwalimu wake, Rashid Matumla.

Akifundishwa jinsi ya kukwepa.

Matumla akimpa mbinu za aina mbalimbali.

Akimpa siri za kushambulia awapo ulingoni.

Ray akimwaga tambo za kumtoa JB kwa ‘knock out’.

 

HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS /GPL

Mambosasa: Abdul Nondo Alikwenda Iringa kwa Mpenzi Wake

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment