The House of Favourite Newspapers

Pape Ousmane Sakho Ashinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Usiku wa Tuzo za CAF Nchini Morocco

0
Pape Ousmane Sakho akipokea tuzo yake kutoka kwa JJ Okocha

KIUNGO Mshambuliaji wa Klabu ya Simba Pape Ousmane Sakho, ang’aa kwenye usiku wa utoaji wa tuzo za Shirikisho la Mpira barani Africa CAF baada ya kujinyakulia tuzo ya goli bora la mwaka.

Goli hilo ambalo limefanya Sakho ashinde tuzo hiyo, ni lile ambalo alilifunga dhidi ya timu ya Asec Mimosas kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

“Asanteni Watanzania, asanteni mashabiki wa Simba, asanteni wachezaji wote, nimefurahi sana.” amesema Sakho baada ya kukabidhiwa tuzo ya goli bora la mwaka.

Leave A Reply