The House of Favourite Newspapers

Nsong’wa Traditional Clinic; Mabingwa wa Kutibu Magonjwa kwa Tiba Asili

0

Nsong’wa Traditional Clinic, ni kituo kinachotoa matibabu ya asili kwa watu wenye matatizo mbalimbali, ambacho kina ofisi zake sehemu mbalimbali, Dar es Salaam ofisi zake zipo Kimara Mwisho, Nyuma ya Mahakama ya Mwanzo maarufu kama kwa Mwalu, Kilimanjaro ofisi zao zipo Kibosho Road na kwa upande wa kanda ya ziwa, ofisi zao zipo Maswa maeneo ya Mnadani B au maarufu kama kwa mama Alphonce.

Magonjwa yanayotibiwa na Nsong’wa Traditional Clinic, ni pamoja na:

  1. BAWASIRI

Huu ni ugonjwa wa kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa au kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa pamoja na kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia.

  1. BARIDI YA BISI

Ugonjwa huu husababishwa na kuishiwa ute sehemu za viungio vya mwili na kusababisha maumivu ya viungo pamoja na mifupa kusuguana.

  1. KISUKARI

Nsong’wa Traditional Clinic pia wanatibu tatizo la kongosho kushindwa kufanya kazi pamoja na kuondoa tatizo la miguu kuwaka moto, vichomi na ganzi.

  1. T.I NA FANGASI

Maambukizi katika njia ya mkojo (UTI) na fangasi husababisha maumivu wakati wa kujisaidia haja ndogo, maumivu chini ya kitovu na kiuno pamoja na kutokwa uchafu sehemu za za siri.

  1. I.D

Ugonjwa huu husababisha kuvimba kwa mirija ya uzazi na kushindwa kupata mtoto. Ukiwaona Nsong’wa Traditional Clinic, watakutibu matatizo haya pamoja na kukupa dawa za kusafisha kizazi.

  1. CHANGO

Chango husababisha tumbo kuunguruma, siku za hedhi kuvurugika sambamba na kushindwa kubeba ujauzito.

  1. MSHIPA WA NGIRI

Ugonjwa wa ngiri husababisha maumivu ya tumbo, korodani kuvimba, kuingia ndani, kuvimba pembezoni mwa paja na kupungua kwa nguvu za kiume.

  1. VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo husababisha tumbo kuuma, kujaa gesi, kiungulia, kutopata choo vizuri na kadhalika.

  1. ASTHMA (PUMU)

Ugonjwa huu husababisha kushindwa kupumua vizuri, kutoa mlio kama wa filimbi wakati wa kupumua na changamoto za upumuaji.

  1. PRESHA

Mtu mwenye presha, mishipa yake ya damu husinyaa na kushindwa kupitisha damu vizuri, kupatwa na ganzi mwilini, mapigo ya moyo kwenda mbio na kushindwa kuona vizuri.

Pia, Nsong’wa Traditional Clinic hutoa matibabu kwa watu wanaosumbuliwa na tatizo la saratani ya koo, kushindwa kula chakula kigumu, kutema mate meupe yanayovutika na kadhalika.

Fika kwenye vituo vyao vilivyopo Dar es Salaam; Kimara Mwisho, Nyuma ya Mahakama ya Mwanzo maarufu kama kwa Mwalu, Kilimanjaro; Kibosho Road na kwa upande wa kanda ya ziwa, ofisi zao zipo Maswa maeneo ya Mnadani B au maarufu kama kwa mama Alphonce.

Pia unaweza kuwasiliana nao kwa kupiga simu namba 0752629252, au tembelea akaunti yao katika mtandao wa INSTAGRAM: Nsong’wa traditional au YOUTUBE: Nsong’wa Traditional Clinic.

Leave A Reply