The House of Favourite Newspapers

Paul Makonda Aangua Kilio Kaburini Kwa Hayati Magufuli Chato Mkoani Geita (Picha + Video)

0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC) – Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda ametembelea na kuweka mashada pamoja na kufanya sala katika kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  Novemba 10, 2023.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda akiendelea na ziara yake Kanda ya Ziwa, Novemba 10,2023 amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita na kuzuru kaburi lake huku akimwaga machozi na hata kushindwa kuongea.

 

Leave A Reply