The House of Favourite Newspapers

Penzi La Vanessa, Rotimi Noma Sana

0

PENZI la msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na staa wa Marekani, Rotimi limezidi kuwa noma sana kutokana na kila siku kuonekana wakijiachia kimahaba.

Picha za Vanessa na Rotimi zimekuwa zikisambaa sana mitandaoni wakiwa viwanja tofauti ambapo wenyewe wanaoneshana mahaba ya aina yake na watu baadhi wakiupongeza na wengine wakiuponda uhusiano wao huo.

“Hawa wataachana tu.“Wanalazimisha waonekane, wanapendana lakini hakuna kitu,” zilisomeka baadhi ya komenti chini ya picha ya wawili hao.

Leave A Reply