The House of Favourite Newspapers

PICHA: Makamu wa Rais Ashiriki Maandamano ya Miaka 57 ya Mapinduzi Z’bar

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 10,2021 ameshiriki kwenye Hafla ya kupokezi ya Maandamano ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu Zanzibar katika Uwanja wa Mao tsung mjini Zanzibar.

 

Leave A Reply