The House of Favourite Newspapers

Picha za Rais Magufuli alipokutana na Prof. Lipumba, Ikulu Dar, leo

magufuli (2)Rais Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, Ikulu jijini Dar, mapema leo.
magufuli (1)Rais Dk John Pombe Magufuli akiagana na Prof Ibrahim Lipumba, Ikulu jijini Dar, mapema leo.

…Prof Ibrahim Lipumba  akiongea jambo na Rais Magufuli.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba, leo amemtembelea na kumpongeza Rais Dk John Pombe Magufuli, Ikulu jijini Da es Salaam kwa hotuba nzuri iliyoweka mwelekeo mpya wa Serikali ya Awamu ya Tano.
Pia Prof Lipumba amesifu na kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais katika kupambana na wakwepa kodi na wahujumu uchumi.

Comments are closed.