The House of Favourite Newspapers

PICHAZ: MATUKIO MBALIMBALI MSIBANI KWA RUGE MUTAHABA KARIMJEE

Baadhi ya waandishi wa habari walioandaliwa kwa ajili ya kubeba jeneza lenye mwili wa Ruge wakilishusha kwenye gari maalum.
Hali ilivyoonekana wakati mwili wa Ruge ulipofika Karimjee Dar es Salaam.
Mzazi mwenzake na marehemu Ruge, Zamaradi Mketema (wa tatu kulia) akiwasili Viwanja vya Karimjee.
Baba Mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba na mama mzazi wakisaidiwa kuingia katika Viwanja vya Karimjee. 
Gari lililobebe mwili wa Ruge Mutahaba.
Mbunge wa Kibaha vijijini, Hamoud Jumaa (katikati)  akielekezwa sehemu ya kuketi alipofika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kutoa heshma zake za mwisho  kwa Ruge Mutahaba. 
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Barnabas Elias ‘Barnaba Boy Classic’ (kulia) akitetea jambo na mmoja wa wasanii  wenzake.
Sehemu walipokaa wafanyakazi wa Clouds Media kabla ya kutoa heshma zao za mwisho kwa mpendwa wao Ruge Mutahaba.

Comments are closed.