The House of Favourite Newspapers

PIERRE Afunguka Kuachia Ngoma na Rayvanny – Video

Baada ya kusambaa kwa kipande cha video kikimuonyesha mchekeshaji aliyejizolea umaarufu kupitia mitandao ya kijamii ‘Pierre Liquid’ akicheza wimbo huku zikisambaa habari tofauti kuwa ni ngoma ambayo amefanya na Rayvanny, msanii huyo amevunja ukimya na kuanika ukweli.

 

Akipiga stori na Global TV Online, Liquid amesema kuwa kwa sasa ameamua kuanza kufanya musiki kwa mfumo wa comedy na kumtaka msanii yeyote anaye taka kufanya wimbo wowote na yeye kuongea naye ili wafanye na kuachia ngoma wakati wowote.

 

VIDEO: MSIKIE PIERRE AKIFUNGUKA

Comments are closed.