The House of Favourite Newspapers

Piga Mkwanja Leo Meridianbet na Mechi za UEFA

0

Jumanne za leo kivumbi cha Ligi za Mabingwa barani Ulaya kinatarajiwa kuanza kwa hatua ya 16 bora ambapo mechi mbili zitapigwa katika viwanja viwili pekee kule Parken na Red Bull Arena. Je unajua ni nani na nani leo? Ni hawa hapa,

Rb Leipzig atamkaribisha Real Madrid nyumbani kwake katika dimba la Red Bull Arena majira za saa 5:00 usiku. Ikumbukwe kuwa Real ndio ndio mabingwa mara nyingi wa kombe hili wakiwa wamelichukua mara 14. Meridianbet wanampa nafasi zaidi Carlo Ancellotti na vijana wake kushinda mechi hii kwa ODDS 2.30 kwa 2.79.

Msimu uliopita walipokuta, kila timu ilishinda nyumbani kwake. Je leo hii Real atalipa kisasi nyumbani kwa RB? Na je vipi Leipzig atakubali pointi tatu ziondoke kwenda Bernabeu?.

RB kwenye Bundesliga yupo nafasi ya 5 baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita, huku Madrid akiwa kinara wa Laliga baada za kutoa dozi nzito kwenye mechi yake iliyopita. Wewe beti yako unaiweka wapi kati za timu hizi mbili?

Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za UEFA, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

 Vile vile Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Huku vijana wa Pep Guardiola Machester City watakuwa ugenini kumenyana dhidi za FC Copenhagen huku Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa za ushindi City kwa ODDS za 1.22 kwa 11.76. Timu hizi mbili zilikutana tena msimu uliopita ambapo mechi za kwanza Copenhagen alipoteza kwa mabao mengi huku mechi za pili wakisuluhu.

The Citizen ndio mabingwa watetezi wa kombe hili wakilichukua kwa mara ya kwanza. Huku kwa upande wa timu mwenyeji yeye hajawahi kuchukua kombe hili hata mara moja. Je leo hii katika dimba lake la nyumbani la Parken atafanya nini?.

Je Pep Guardiola ambaye yupo nafasi ya pili kwenye ligi kuu za EPL atashinda au mwenyeji atamzuia?. Jisajili ubeti hapa.

Leave A Reply