The House of Favourite Newspapers

Polisi: Ofisa LHRC Anashikiliwa Kwa Mahojiano, Ajatekwa

0
Ofisa wa kitengo cha Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linamshikilia Ofisa wa kitengo cha Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti na watu wengine watatu kwa uchunguzi na mahojiano zaidi.

 

Tito Magoti  alidaiwa kutekwa na watu wasiojulikana leo mchana Ijumaa Desemba 20, 2019 akiwa kituo cha mafuta cha Puma kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam na watu sita waliovalia kiraia kisha kumwingiza katika gari na kuondoka naye.

Leave A Reply