The House of Favourite Newspapers

POLISI WAIZINGIRA NYUMBA YA RIHANNA LOS ANGELS

POLISI wa Los Angels juzi (Jumatatu) waliizingira nyumba ya mwimbaji Rihanna baada ya kupata wito uliorushwa na mashine “kibahati mbaya” kwamba kulikuwa na  tatizo kwenye makazi yake ya Hollywood Hills.

 

Polisi walifika kwa mwimbaji huyo maarufu ambaye hakuwepo nyumbani, lakini wakagundua kwamba wito kama huo uliwahi kurushwa na mashine ya Rihhana wakati kuna mtu aliingia bila ya kibali kwenye makazi hayo na kusema alitaka kufanya mapenzi naye, japokuwa si kwa nguvu.

Jamaa huyo hatimaye alifunguliwa mashitaka ya kuingia mahali kwa nia mbaya na kuharibu mali.

Hivyo mashine hiyo ilirudia kitendo hicho kwa bahati mbaya.

Comments are closed.