The House of Favourite Newspapers

Posts za Mastaa Diamond, Mwana FA, Vee Money Msiba wa Mzee Mengi

Wasanii nchini wamezidi kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi kilichotokea usiku wa kuamkia leo. Chini ni baadhi ya  wasanii waliotuma salamu zao za pole kupitia mitandao.

Idris Sultan – Jana ilikuwa birthday ya Ruge na leo msiba wa Mengi. Another media tycoon is gone. Sina nafasi ya kuongezea kwenye huzini ambayo wote tunayo ila tukumbuke siku zake za mwisho na mkewe zilitupa wote furaha sanaaaa sio siri. It’s a life well lived. Innalillahi wainna ilaihi rajiun.

Comments are closed.