The House of Favourite Newspapers

Prince Harry, Meghan Wapata Mtoto Wa Kiume

 

MWANA-mfalme wa Uingereza, Prince Harry na mkewe Meghan, Duchess of Sussex, wamemtambulisha mtoto wao wa kiume leo kabla ya kumtambulisha kwa Malkia Elizabeth wa Pili kwenye makazi yake ya Windsor Castle.

 

Pamoja na furaha yao, wawili hao wamewaweka walimwengu katika shauku ya kutaka kufahamu jina la mtoto huyo aliyezaliwa juzi, Jumatatu.

 

 

“Inafurahisha, sasa nina midume mwili ya kupendeza duniani, nina furaha sana,” alisema Meghan  mwenye umri wa miaka 37, ambaye ni mtu wa saba katika msururu wa kurithi taji la Uingereza, na ni mjukuu wa nane wa malkia ambaye sasa ana umri wa miaka 93.

Alipoulizwa mtoto huyo anamfanana nani, Harry alisema ni mapema mno kusema.

 

Comments are closed.