The House of Favourite Newspapers

Prof. Mkenda: Mabadiliko Ya Mitaala Mipya Ya Elimu Bado Hayajapitishwa – Video

0


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema “Mapendekezo yana Mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa Elimu kwa kuwa yanagusa Mitaala mipya ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Elimu ya Ualimu. Rasimu imepitishwa katika ‘Cabinet Secretariat’ baada ya hapo itaenda Kamati ya Ufundi ya Makatibu Wakuu kisha itaenda kwenye Baraza la Mawaziri ili nalo limshauri Rais aridhie.”

Prof. Mkenda ameongeza kuwa rasimu iliyopo inapendekeza Wanafunzi waliopo Darasa la Tatu Mwaka 2023 ndio watakaosoma mpaka darasa la Sita, hivyo waliopo katika Madarasa ya Nne, Tano na Sita wataendelea kusoma mpaka Darasa la Saba.

Leave A Reply