The House of Favourite Newspapers

Profesa Rwekaza Mkandala Awapongeza Wanafunzi wa St. Joseph

0
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mkandara akiongea katika mahafali ya kidato cha sita ya Shule ya Sekondary ya St. Joseph Cathedral yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa St.Peters, Dar.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza na wahitimu wa kidato cha sita wa shule hiyo.

 

Wahitimu wa kidato cha sita wakitoa salamu kwa mgeni rasmi (hayupo pichani)
Mkuu wa shule hiyo Sister Theodora Faustine (kulia) akiwa na Eric Shigongo meza kuu.
Wahitimu wakiendelea na kumsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani).
Wazazi wakiwa katika mahafari hayo.
Eric Shigongo akisalimiana na Mkandala.

Familiya ya Eric Shigongo wakiwa katika picha ya pamoja.
Leave A Reply