The House of Favourite Newspapers

PSPF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Ujasiliamali Kilimanjaro

Washiriki wa Semina ya wachama wa PSPF wasitaafu watarajiwa semina hiyo ilifanyika jana katika Mkoa wa Kilima njaro.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Pesheni PSPF, Adam Mayingu, akisoma hotuba ya ukaribisho kwa mageni rasimi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pesheni PSPF Adam Mayingu (kushoto) akimkabidhi kadi ya uwanachama wa mfuko wa Pesheni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira (kulia).

Mwanachama Mpya wa Mfuko wa Pesheni ya PSPF Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, akifurahia baada ya kukabidhiwa kadi.

Wanachama wa mfuko wa Pesheni ya PSPF, wakiwa katika picha ya pamoja Anna Mghwira.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akiagana na wanachama wa sitaafu watarajiwa wa Mfuko wa PSPF.

Washiriki wa Semina ya wasitaafu watarajiwa, wakiskiliza maada mbalimbali zilizo kuwa zinatolewa na baadhi ya makampuni yaliyo wekeza kwenye mfuko huo.

Comments are closed.