The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Atembelea Meli Ya Hospitali Ya China

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John  Magufuli,  akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya Hospitali ya China (Ark of  Peace) alipoitembelea leo kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es Salaam.
…Akikagua gwaride la wanamaji na wanaanga wa meli hiyo.

 

Akitembezwa sehemu mbalimbali na kiongozi wa meli hiyo, Kamanda Guan Bailin.

Rais John Magufuli leo ameitembelea na kuwaaga wanajeshi wa Meli ya Hospitali ya Jeshi la Maji la China ambayo imekuwa nchini kwa takriban juma zima ikitoa matibabu na uchunguzi kwa Watanzania kwa magonjwa mbalimbali. Meli hiyo ilikuwa imetia nanga katika bandari ya Dar es Salaam.

Leave A Reply