The House of Favourite Newspapers

Rais JPM Aongoza Maadhimisho ya Sherehe za Uhuru Mwanza – Video

0

Rais Dk. John Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama amekagua gwaride la heshima la maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Leave A Reply