The House of Favourite Newspapers

Rais JPM awasili jijini Arusha

0

jpm

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari aliyekuwa mmoja wa viongozi na wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utofanyika jijini Arusha.

Leave A Reply