The House of Favourite Newspapers

Rais Kagame awasili Ikulu Dar kwa ziara ya siku 2

0

kagame

Rais wa Rwanda,Paul Kagame amewasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere  leo na Kupokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Joseph Pombe Magufuli na kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kufanya Mazungumzo.

Baada ya hapo wataelekea katika Viwanja wa Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kufungua rasmi maonesho ya 40 ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba  leo.
Leave A Reply