The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Kilimo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Yohana Luhunga Budeba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Budeba umeanza tarehe 20 Juni, 2018.

 NAIROBI, Kenya

VIDEO: MWARABU FIGHTER AJALI

Comments are closed.