The House of Favourite Newspapers

MAGUFULI AKUTANA NA WADHAMINI WA CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa na wajumbe wa baraza jipya la wadhamini wa  CCM Ikulu jijini Dar es Salaam.  Kutoka kulia mstari wa kwanza ni Dkt. Haruni Kondo, Anna Abdallah (Mwenyekiti wa Baraza) na Jaji Mstaafu Mark Bomani. Wengine mstari wa nyuma kuanzia kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, Christopher Gachuma, John Chiligati, Balozi Mstaafu Daniel Ole Njoolay, Pandu Kificho  na Hassan Mzee.
Magufuli akizungumza na wajumbe hao.
…Akizungumza na Hassan Mzee, mmoja wa watu waliochanganya udongo wakati Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania.

 

…Akitoka kwenye kikao na wajumbe.

 

Comments are closed.