The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Mkurugenzi Mteule wa NSSF, William Erio.

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Prof. Godius Kahyarara na atapangiwa kazi nyingine. Rais amemteua William Erio kushika nafasi hiyo kabla kuteuliwa alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF.

Comments are closed.