The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Aongoza Baraza La Mawaziri Ikulu Jijini Dar Leo

mawaziri-1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.

mawaziri-2Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na balaza la mawaziri jijini Dar es Salaam leo.

mawaziri-3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.

Comments are closed.