The House of Favourite Newspapers

JPM Ashushiwa Maombi Mlima Wa Moto kwa Mwaka Mpya -Video

0


MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Getrude Lwakatare,  ameendesha ibada maalum ya mkesha wa mwaka mpya kumwombea Rais John Magufuli na kuukaribisha mwaka  wa 2020 akiwa na waumini wa kanisa hilo lililopo Mikocheni B, Dar es Salaam.

Leave A Reply