The House of Favourite Newspapers

RAIS MAGUFULI AWALILIA 19 WALIOKUFA AJALINI SONGWE

Rais Dk. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza jamaa zao katika ajali ya barabarani iliyotokea katika Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe na kusababisha vifo vya watu 19. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo katika mteremko wa Mlima Senjele.

 

Zoezi la kutambua miili ya marehemu wa ajali hiyo linaendelea na mpaka sasa ni miili 9 imeshatambulika.

Comments are closed.