The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Ikulu ya Chamwino – Video

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Mei 30, 2020 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa ikulu mpya ya Chamwino jijini Dodoma, zoezi lililohudhuriwa na marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete sambamba na viongozi wengine wa sasa na wastaafu.

 

Pia Rais Magufuli amekabidhi ndege aina ya tausi kwa Mama Maria Nyerere, mke wa baba wa taifa, marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete. Wastaafu wote wamezungumza kwenye hafla hiyo, huku mama Maria akiwakilishwa na mwanaye Makongoro Nyerere na kwa pamoja wamemshukuru mheshimiwa rais.

Leave A Reply