The House of Favourite Newspapers

MAGUFULI AWEKA MAUA MAKABURI YA MASHUJAA NAMIBIA

Rais John  Magufuli akienda kuweka shada la maua katika Makaburi ya Mashujaa wa Namibia eneo la Heroes’ Acre.
…Akisali baada ya kuweka shada la maua.
…Akiondoka eneo hilo na mwenyeji wake Rais wa Namibia Hage Geingob.
…Akikagua kiwanda cha nyama cha Meatco katikajiji la Windhoek.

Rais Magufuli akiwa ameongoza na Rais wa Namibia, Hage Geingob wa Namibia, amembelea na kuweka shada la maua katika eneo la makaburi ya mashujaa wa ukombozi wa Namibia (Heros Acre) ambako wamezikwa mashujaa walioendesha mapambano wakitokea katika kambi ya mafunzo ya Kongwa mkoani Dodoma.

PICHA NA IKULU

Comments are closed.