The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli, Kagame na Museveni Wampongeza Uhuru Kenyatta

0

 

Rais John Magufuli.

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli amempongeza Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne.

Kenyatta ametangazwa mshindi na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo, IEBC (Independent Electoral and Boundaries Commission) baada ya kumshinda mpinzani wake mkubwa, Raila Odinga. Pia Rais Paul Kagame wa Rwanda na Yoweri Museveni wa Uganda, wamempongeza Rais Kenyatta.

Leave A Reply