The House of Favourite Newspapers

RAIS OBAMA ATUA BONGO – PICHAZ

Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea hifadhi ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara alikotalii yeye na familia yake kwa muda wa siku nane, kabla ya kuelekea Afrika Kusini kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya Nelson Mandela.

Baada ya kumaliza matembezi yake katika mbuga za Serengeti, Obama ameelekea nchini Kenya na kupokelewa na Rais Uhuru Kenyatta ambako anatarajiwa kuwa na ziara ya siku mbili.

Comments are closed.