The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Akutana na Mama Maria Nyerere, Anna Mkapa

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Desemba 5, 2021 amewatembelea nMama Maria Nyerere na Mama Anna Mkapa kuwajulia hali nyumbani kwao Msasani Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia akizungumza na Mama Anna Mkapa wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.
Rais Samia akiwa na Kitukuu cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere wakati alipomtembelea Mama Maria Nyerere kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.

PICHA NA IKULU

Leave A Reply